21 Feb 2015

Wonderful day at suza

VC wa chuo kikuu cha suza akiwa pamoja na mmoja ya walimu wa suza na baadh ya wanafunzi wa chuo hicho baada ya kumaliza presentation yao.

Mandhari ya suza

 Hii ni njia ambayo imo ndani ya chuo cha suza inayotoka katika lango kuu la kuingilia ndani hadi katika jengo la Utawala, na kati ni round about na mnara ambao hujuilikana kama karafuu, pembezoni mukiwa na miti na bustani ambazo hupelekea mandhari kuwa mazuri na ya kupendeza ndani ya chuo kikuu cha taifa cha Suza.